Rais Rouhani: Maadui wana njama ya kuwafarakanisha Waislamu

IQNA

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya kibeberu yangali yanafanya njama za kuzusha hitilafu na mifarakano katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 1360121    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/01/18